Monday, 20 April 2020

TUWE IMARA na Joseph C. Ogbu (JoeNwaOgbu)


Shika ya msingi yasipotee,
Imani lazima tutetee,
Acha hofu sasa tutembee;
Twjua watakatifu wapo watuombee,
Na baraka wanaleta sasa tusogee,
Ila mikono lazima isafishwe tupokee,
Tuweze kuishi kwa Mungu, na neema tuogelee
Na mwisho utakatifu, sote tufikie.

Maisha sasa tukae na kufikiria,
Ili tuweze kutimiza kazi zinazotusubiria,
Bila kulalamika na pia kulia;
Tujue Mungu na Mama yake wapo daima kutusaidia
Muda wowote tuweze kutulia,
Na kushika waovu na kukemea,
Hata ikiwa dunia nzuri; inatembea kama inalegea,
Imara maadili tukae na kusimamia,
 Na maishani; kusema hapana kwa mbaya tabia.

10 comments:

  1. Asante sana kwa ujumbe mzuri, uliouwasilisha kwa ustadi wa hali ya juu, Mungu azidi kukuneemesha

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana Frt. Mungu abariki Sana.
    Be blessed.

    ReplyDelete
  3. Asante kaka mungu akubariki

    ReplyDelete
  4. Asantee kwa ujumbee mzuri!Nakuona mbali an siku zijazo

    ReplyDelete
  5. Asante sana kaka... Mungu akubariki kwa kazi yako nzuri

    ReplyDelete
  6. Nawashukuru Sana Nyote kwa comments zenu! Mungu awabariki kwa matashi mema!

    ReplyDelete
  7. Asante sana kwa ujumbe wenye faraja na matumaini,Mungu ni mwema daima yuko pamoja nasi

    ReplyDelete
  8. Asante sana kwa ujumbe wenye faraja na matumaini,Mungu ni mwema daima yuko pamoja nasi

    ReplyDelete

SMILE ON THE FACE; BUT...? by Fr. Joseph C. Ogbu

Imagine! Calmly water turning thicker than blood, Evils gently overflowing like flood. God! be merciful on your precious world, And allow n...